Wednesday 12 February 2014

HII NDO HABARI YA MUJINI,BIDHAA BORA YA KUSAFISHA MFUMO WA CHAKULA


Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa,tumekuwa tukila bila mpangilio,aina duni ya vyakula kulingana na mahitaji ya mwili. Hali hii imepelekea magonjwa mbalimbali katika
miili yetu kama tumbo kujaa gesi,vidonda tumbo,unene wa kupindukia,uchovu au shida ya kupata choo.

Kampuni ya FOREVER LIVING imekuja na njia rahisi salama na ya asili katika kupambana na matatizo hayo kupitia bidhaa bora na maarufu itwaayo CLEAN 9,yaani inatumiwa kwa siku 9 (tisa) tu,kwa ajili ya kusafisha mfumo wa chakula na mwili kwa ujumla. pia kupunguza uzito usiohitajika 
na mwili.

Na bidhaa hii imekuwa msaada mkubwa kwa watu tofauti nchini na nje ya nchi pia.

credits to CLEAN 9 DETOX PROGRAM TANZANIA

kitambi noma sanaaaaaa

bidhaa hii pia imeonyesha pia kufanya vizuri kimataifa hasa kwa mwanadada huyu,




kwa maelezo zaidi juu ya utumiaji na upatikanaji wa bidhaa hii wasiliana nami kwa namba 0754 870 600.

No comments:

Post a Comment