Wednesday 29 January 2014

JINSI YA KUTIBU CHUNUSI KWA ASALI NA LIMAO KWA NGOZI YENYE MAFUTA


download
Chunusi ni tatizo sugu hasa kwa watu walio na ngozi za mafuta,kama mimi hapa. Lakini
tiba hii niliipenda sana,kwani ni rahisi na pia mahitaji yake ni vitu ambavyo vipo majumbani kila siku.

Kwa nini ni msaada?
limao kama limao lina citric acid ambayo ni tiba ya chunusi. Na pia lina vitamin C kwa wingi ambayo ni muhimu katika urutubishaji wa ngozi.


Jinsi ya kufanya;
Changanya maji ya limao vijiko viwili na asali hivyo hivyo, koroga vyema.Osha uso wako,kausha vizuri.Pakaa mchanganyiko wako,subiri kwa muda wa nusu saa mpaka lisaa limoja. Osha uso kwa maji safi.Ni vizuri kupaka mara mbili kwa siku kwa matokeo bora zaidi. Kama vikikukataa acha mara moja.

No comments:

Post a Comment