Thursday 20 February 2014

NJIA ZA ASILI ZA KUONDOA MIKUNJO USONI








kumekuwa na dhana kwamba uwepo wa vipodozi vya kuondoa mikunjo ya ngozi ni wa miaka ya hivi karibuni, la hasha ukweli ni kwamba krimu za kuondoa mikunjo zilitengenezwa kwa mara ya kwanza huko Misri enzi hizo.

kuna njia rahisi sana ambazo zina uwezo wa kutatua tatizo la mikunjo bila kuhaha katika maduka ya vipodozi kutafuta losheni au vipodozi ili kukabiliana na tatizo hili. Sasa unaweza kutumia vitu vya kawaida kabisa kuondoa mikunjo kwa urahisi na kuufanya uso wako uonekane kijana zaidi. Baadhi ya njia hizi ni kama;

Kutumia tango,yai na limao
  • vijiko 2 vya juisi ya matango
  • ute mweupe wa yai
  • kijiko kimoja cha maji ya limao

Maandalizi:

changanya vitu hivyo kwenye chombo kimoja na hakikisha kwamba vitu vyote vimechanganyika sawasawa. Hifadhi mchanganyiko huo tayari kwa kuupaka kwenye uso.

TANGO

LIMAO
UTE MWEUPE WA YAI

 

Jinsi ya kutumia:

  • osha uso wako kwa maji na sabuni na hakikisha umeukausha baada ya kuosha uso wako
  • pakaa mchanganyiko wako ulioandaa kwenye uso wako na acha mchanganyiko huo bila kunawa kwa muda wa dkk 15 hadi 20 kabla ya kuosha uso wako
  • osha uso wako kwa kutumia maji ya uvuguvugu
 To be continued............

ENDELEA KUTEMBELEA UKURASA HUU KWA MUENDELEZO WA DONDOO ZA UREMBO ASILIA !!!

Wednesday 12 February 2014

HII NDO HABARI YA MUJINI,BIDHAA BORA YA KUSAFISHA MFUMO WA CHAKULA


Kutokana na mfumo wa maisha ya sasa,tumekuwa tukila bila mpangilio,aina duni ya vyakula kulingana na mahitaji ya mwili. Hali hii imepelekea magonjwa mbalimbali katika

HOW TO GET FIT? 9 SECRETS OF FIT GIRLS THAT YOU SHOULD KNOW ABOUT

HOW TO GET FIT? 9 SECRETS OF FIT GIRLS THAT YOU SHOULD KNOW ABOUT




 1. Fit girls beat the boredom
Following the same fitness regime day, after day, can be ‘oh so boring’ and

Wednesday 29 January 2014

THE BEST HEART-HEALTHY FRUITS AND VEGETABLES

A delicious way to protect your HEART: Eat colorful fruits and vegetables. From watermelons to pineapples, there’s a rainbow of potent nutrients proven to help your heart. Read on to find out which produce is worth stocking up on.

super foods
matunda na mboga kwa kuimarisha moyo

BEAUTY TIPS FOR OILY SKIN

Oily skin can take you through tough times as the sebaceous glands are over-active, producing excess sebum, contributing to a shiny, greasy-looking face and skin concerns such as acne, blackheads and whiteheads, enlarged or clogged pores etc. Pollution and dirt can even lead to skin-bumps for those with very oily skin. The solution for this is to keep the oil production in control by following some simple beauty tips for Oily Skin


At the outset, you should know something positive about oily

JINSI YA KUTIBU CHUNUSI KWA ASALI NA LIMAO KWA NGOZI YENYE MAFUTA


download
Chunusi ni tatizo sugu hasa kwa watu walio na ngozi za mafuta,kama mimi hapa. Lakini
tiba hii niliipenda sana,kwani ni rahisi na pia mahitaji yake ni vitu ambavyo vipo majumbani kila siku.

Kwa nini ni msaada?
limao kama limao lina citric acid ambayo ni tiba ya chunusi. Na pia lina vitamin C kwa wingi ambayo ni muhimu katika urutubishaji wa ngozi.

MMILIKI WA BLOG HII VIOLETH MWILIKE