JE,WAJUA YA KUWA KITUNGUU MAJI NI DAWA?
Kitunguu wengi wetu tumezoea kutumia kama kiungo cha mboga.Kumbe pia kitunguu ni dawa nzuri sana kwa:
- uvimbe
- kikohozi
- vidonda vya tumbo
- mifupa
- ngozi
- koo
- figo
- tumbo
- mkojo
MATAYARISHO
Menya vitunguu 3 vikubwa,visage au vitwange ili upate maji yake,changanya na maji kidogo yaliyochemka. Chukua punje 3 za kitunguu swaumu,mwaga maji ya vitunguu maji juu yake, acha mchanganyiko ukae ndani ya bilauri masaa2,ongeza asali vijiko vikubwa 5. Tumia kijiko kikubwa kutwa mara 3.
Kwa hisani ya Dr. Jethro Kloos
No comments:
Post a Comment